Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchunguza jinsi ujinsia katika methali za Kikurya unavyijitokeza katika mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume. Katika harakati za kukamilisha lengo hili data za utafiti zilikusanywa kwa mbinu ya hojaji pamoja na maswali ya madodoso kwa wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Vijijini. Utafiti huu umetumia nadharia mbili yaani nadharia ya Ufeministi na nadharia ya Simiotiki. Matokeo ya utafiti yaanaonyesha kuwa ujinsia katika methali za Kikurya unajitokeza katika mahusiano kutokana na wanawake kunyanyasika, kuaonewa, kusalitiwa na hata kudharaulika kupitia vitu dhaifu na vinyonge. Kulingana na uchambuzi wa data, matokeo yanaonyesha kuwa ujinsia ...
Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughain...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona. Katika k...
Utafiti huu unahusu Kuchunguza Matumizi ya Lugha Katika Riwaya ya Kichwamaji na Vuta n’kuvute – Utaf...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Utafiti huu ulilenga kuchunguza usawiri chanya wa mwanamke na ujumbe unaopatika katika vitendawili v...
Tasnifu hii inawasilisha uchunguzi uliofanywa kuhusu michakato na mbinu zilizotumika katika uundaji ...
Tasnifu hii inahusu matumizi ya methali katika jamii ya Wanyiramba. Kutokana na utafiti uliofanywa u...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa k...

Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza matumizi ya mbinu za kisanaa katika tamthiliya ya Mo...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kijinsia katika Lugha ya Mashairi: Mifano...