Mchango wa mandhari katika kusawirisha ujumbe wa mwandishi katika riwaya ya Maisha Kitendawili

  • Muia, Shadrack Tete
  • Mutua, John
  • Makoti, Vifu
Publication date
February 2023
Publisher
Royallite Global

Abstract

Makala hii inalenga kuhakiki mandhari katika riwaya ya John Habwe; Maisha Kitendawili (2000). Lengo la makala ni kuchunguza na kubainisha jinsi ambavyo mwandishi John Habwe alivyotumia mandhari kuwasilisha ujumbe wake kwa jamii. Pia wahakiki wanamadhumuni ya kubainisha jinsi mandhari mbalimbali yanavyomwezesha mwandishi kufikia lengo lake.  Makala hii inaongozwa na nadharia ya uhalisia ambayo husisitiza kuwa kazi ya fasihi itumie mandhari halisi ambayo si mageni kwa mwandishi na msomaji ili kuwasilisha ukweli wa maisha halisi

Extracted data

We use cookies to provide a better user experience.