Methali ni kipera muhimu cha fasihi simulizi katika kutoa mafunzo kutokana na maudhui yapatikanayo humo. Zimekuwa zikichukuliwa kuwa zina ukweli, hekima na busara kwa jamii husika. Lengo la makala hii ni kuzihakiki methali za Kiswahili ambazo zinahusu ulemavu ili kuelewa mitazamo iliyomo katika methali hizo na athari zake katika jamii. Maswali tunayojibu ni: Je, methali hizo zinabeba mitazamo gani ya jamii? Nini nafasi na athari ya mitazamo hiyo kwa maendeleo endelevu ya watu wenye ulemavu na jamii husika? Data za makala hii zimekusanywa kupitia usomaji wa maandiko mbalimbali maktabani na kufanya mahojiano na wanajamii. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa, methali zimebeba mitazamo hasi na chanya kuhusu ulemavu na watu wenye ulemavu kati...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza chimbuko na maendeleo ya Kiswahili na athari zake kw...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthi...
Tasnifu hii inahusu matumizi ya methali katika jamii ya Wanyiramba. Kutokana na utafiti uliofanywa u...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Utafiti huu unahusu Kuchunguza Dhima za Methali zinavyoendeleza Elimu ya jadi. Mfano Kutoka Jamii ya...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza dhima ya methali za jamii ya Wasimbiti wa Rorya mkoani Mar...
Methali ni moja kati ya vipengele vya semi ambavyo hutumika sana katika masuala yanayohusu mapenzi n...
Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughain...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Ukinzani ni dhana ambayo imefasiliwa kama ubishi au upinzani. Ukinzani katika methali za Kiswahili u...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Dhima ya lugha ya mawasiliano imejadiliwa na wanazuoni kadhaa. Wengi wameiangalia kama yenye kuongel...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...