Makala haya yanafafanua dhana ya kiimbo ambayo inaonekana kuwa na uvulivuli kuanzia fasili yake. Kiimbo kwa mujibu wa Massamba (2012:159) ni ule mpando-shuko wa sauti wakati wa usemaji, wakati wa uimbaji au wakati wa utoaji ukelele, wa aina yoyote ile. Fasili hii ndiyo inayoonekana kuwa na mashiko zaidi. Ufafanuzi huu wa kiimbo unafanywa kulingana na Nadharia ya Fonolojia Vipandesauti Huru, hiki kikiwa kimojawapo ili vipambasauti vinavyofafanuliwa na nadharia hii. Makala yamebaini fasili mbalimbali za kiimbo, aina, umuhimu, mfanano na tofauti baina ya kiimbo na vitu vingine na mitazamo ya wanaisimu mbalimbali kuhusu dhana ya kiimbo. Makala yamegawanyika katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza ni utangulizi, ambayo itaelezea usuli wa dhana ya k...
Fasihi ya watoto hutofautiana na fasihi ya watu wazima katika maudhui, fani, mawanda, walengwa na ha...
Lengo kuu la utafiti wetu lilikuwa kuchunguza dhima ya nyimbo kwa wafiwa katika jamii ya Wanyakyusa ...
Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumun...
Makala hii imeangaza muhutasari wa nyimbo na maana ya mafumbo yanayojitokeza katika nyimbo za Taarab...
Utafiti huu unahusu nafasi ya nyimbo za Injili katika fasihi ya Kiswahili: mifano kutoka katika nyim...
Nyimbo za ngoma ya Kibati ni nyimbo maarufu sana visiwani Zanzibar. Asili ya nyimbo hizo ni kutoka k...
Makala haya yanalenga kuibua mabadiliko mbalimbali yanayojitokeza katika nyimbo za jamii ya Shisafwa...
Kutokana na tofauti za mazingira, tabia ya nchi na hali ya hewa, binadamu wamekuwa na tamaduni zinaz...
Lengo la utafiti huu ni Kuchunguza Dhamira na Fani katika Nyimbo za Taarab asilia za Shakila Saidi K...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahil...
Nyimbo, kama tanzu ya fasihi yeyote ile zina majukumu mbalimbali ambayo hutekeleza katika jamii. Len...
Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Zaidi ya miongo mitatu iliyopita masuala ya UKIMWI1 yalianza kuripotiwa ulimwenguni. UKIMWI ni mojaw...
Makala hii inaangaza sababu iliyomsukuma Siti kuishia kutumia mafumbo katika nyimbo zake za Taarab. ...