Makala haya yanachunguza uumbaji wa wahusika katika Gamba la Nyoka ambayo ni mojawapo ya riwaya za Euphrase Kezilahabi. Tumewatambulisha wahusika wakuu watano ambao ni Mambosasa, Mamboleo, Padri Madevu, Mama Tinda na Mzee Chilongo. Hawa ndio wahusika ambao tunawachunguza. Lengo letu ni kudhihirisha kwamba uumbaji wa wahusika hawa umetumia mtindo wa kitashtiti. Mbinu za utunzi zinazohusishwa na tashtiti ni kama vile kinaya, ucheshi, dhihaka na bezo. Kwa vile tashtiti hudhamiriwa kukashifu na pia kupiga vita maovu ya kijamii, makala haya yanaangazia matumizi ya mbinu hizi katika kufanikisha lengo hilo
Makala hii imetumia tamthilia ya Hatia katika kufafanua kilongo cha unyanyasaji wa kiusemi baina ya ...
Makala hii imechunguza mtindo wa jazanda na viwango vya jazanda vilivyotumika katika kusawiri mashai...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Makala hii inajadili usawirishaji wa uhusika katika riwaya za Rosa Mistika na Maisha Kitendawili. Ki...
Hadithi yoyote husimuliwa. Usimulizi huo hufanywa na msimulizi ambaye kwa hakika huwa tunaisikia sau...
Makala hii imechunguza taswira na viwango vya taswira vinavyotumika katika usawiri wa maudhui ya uko...
Lengo la utafiti huu ni Kutathimini Mbinu za Usawiri wa Wahusika katika Riwaya ya Dunia uwanja wa fu...
Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. ...
Makala haya yanachukulia kwamba mwandishi wa Kiswahili haandiki tu kwa ajili ya kuandika bali huandi...
Utafiti huu unahusu kuchunguza dhana zilizobebwa na wahusika na zinavyolandana na majina yao katika ...
Utafiti huu ulilenga kuchunguza majina ya watu katika jamii ya Wayao ili kuona iwapo yana maana. Kul...
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala ya...
Utendi ni mojawapo ya tanzu za fasihi ya Kiswahili ulio na historia ndefu. Miongoni mwa tendi hizi n...
Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kulinganisha tabia za wahusika wakuu nadhamira katika riwaya ya Kis...