Makala haya yanafafanua dhima ya ushairi wa Kiswahili katika kujenga uwiano na utangamano katika jamii. Maendeleo na ustawi wa lugha huenda sambamba na fasihi yake. Ushairi wa Kiswahili kama utanzu wa fasihi, una historia ndefu. Aidha, umaarufu wa ushairi huu hautokani tu na vipengele vya lugha teule zinavyotumika, bali pia ujumbe muhimu unaowasilishwa. Hivyo basi, unaweza kutumiwa kama njia mojawapo ya kujenga utangamano miongoni mwetu. Kasi ya mabadiliko inayosababishwa na mchakato wa utandawazi imeufanya umma wa ulimwengu wa sasa kuangazia athari zake. Ongezeko la uhasama miongoni mwa jamii zetu, vita vya kikabila, tuhuma na ufisadi unaopaliliwa na ubinafsi, ni baadhi ya madhila yanayozikabili jamii za leo hususan katika eneo la Afrika M...
Makala haya yanatathmini iwapo ukuzaji na uendelezaji wa Kiswahili nchini Kenya unategemea shughuli ...
Makala hii inaichambua dhana ya Uhalisiamazingaombwe kama ambavyo imekuja kutumika hivi karibuni mio...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Kiswahili ni lugha pekee ya Kiafrika ambayo imejinyakulia nafasi ya juu miongoni mwa lugha za kimata...
Makala hii inadondoa baadhi ya mifano ya miundo ya maneno pamoja na uvunjaji wa mfuatano wa kisarufi...
Makala haya yanachukulia kwamba mwandishi wa Kiswahili haandiki tu kwa ajili ya kuandika bali huandi...
Katika kuangalia lugha ya Kiswahili, utaona kuwa uchaguzi wa lugha hii kama lugha ya taifa nchini Ke...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza chimbuko na maendeleo ya Kiswahili na athari zake kw...
Kufanikisha usalama wa chakula kunategemea ufahamu wa wakulima na jamii ya mashambani1 kuhusu dhana ...
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa k...

Fasihi ya Kiswahili ya watoto kama taaluma haina muda mrefu katika historia ya fasihi ya Kiswahili. ...
Dhima ya lugha ya mawasiliano imejadiliwa na wanazuoni kadhaa. Wengi wameiangalia kama yenye kuongel...
Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kup...