Sera ya lugha inaruhusu matumizi ya lugha ya Kiswahili, lugha za kigeni na lugha za jamii. Fursa hii imewasababishia watu kutumia lugha zote hizo katika sehemu moja kwa wakati mmoja ingawa kila lugha imepangiwa sehemu yake ya matumizi. Hali hii imeleta kero katika matumizi ya lugha hizo. Hivyo, makala haya yamejadili mgongano wa matumzi ya lugha mbili nchini Tanzania pamoja na athari zake. Makala yamedhihirisha kuwa Kiswahili kinapata ushindani mkubwa katika matumizi yake. Aidha, imeonekana kuwa katika matumizi hayo lugha ya Kiswahili na lugha za jamii zimeshushwa hadhi na Kiingereza kimepewa nafasi pana. Ili kuondoa mgongano huo, makala yanapendekeza kuwa sera ya lugha iwekwe kisheria na ijitegemee. Aidha, Kiswahili kitumike katika kufundi...
Dhima ya lugha ya mawasiliano imejadiliwa na wanazuoni kadhaa. Wengi wameiangalia kama yenye kuongel...
Mbolezi ni kipengele muhimu katika utamaduni wa mazishi miongoni mwa jamii za Afrika. Makala hii ina...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Lugha inaweza kutumiwa kwa njia ya ubunifu wenye ufasaha ufaao ili kuwasiliana au pia ikatumiwa visi...
Lengo la makala haya ni kujadili mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika ili kuihifadhi lugha ya Kiswah...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Ulimwengu wa sasa wa utandawazi umesababisha kuzagaa kwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasil...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...
Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughain...
Lengo la Tasnifu hii ni kuchunguza Athari ya lugha ya Kijita Katika Kujifunza lugha Kiswahili Kwa Wa...
Makala hii inachunguza hali ya somo la isimu ya lugha linalofundishwa katika nyingi ya idara za Kisw...
Madhumuni ya makala hii ni kuonyesha kuwa wataalam wenye wajibu wa kushughulikia tatizo la utayari w...
Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau ...
Makala haya yanalenga kutathmini mitaala ya ufundishaji wa Kiswahili ngazi ya sekondari katika matum...