Makala haya yamechunguza ruwaza za majina ya mahali ya Kihaya1 kwa kuchanganua vijenzi mbalimbali vinavyojenga majina hayo. Data iliyochunguzwa ni sehemu ya data iliyokusanywa kutoka katika wilaya za Muleba, Missenyi, Bukoba Vijijini na Bukoba Mjini, mkoani Kagera kwa ajili ya tasnifu ya Uzamivu. Uchanganuzi wa data umeongozwa na Nadharia ya Mofolojia Leksika kwa mujibu wa Kiparsky (1982) inayosisitiza kuwa vipashio vinavyounda maneno vimepangwa kidarajia kimsonge ambapo vipashio vidogo huungana ili kuunda vipashio vikubwa. Data za utafiti huu zimewasilishwa kwa kutumia majedwali. Hata hivyo, baadhi ya data zimewasilishwa kwa kutumia michoroti ili kudadavua vyema mpangilio wa vipashio vinavyounda majina husika na kuonesha jinsi vipashio hiv...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Vipengele mbalimbali vya sarufi vinapopitia michakato ya mabadiliko vina uelekeo fulani. Pia, maana ...
Tasnifu hii inawasilisha uchunguzi uliofanywa kuhusu michakato na mbinu zilizotumika katika uundaji ...
Wataalamu mbalimbali (taz. Byarushengo na wenzie, 1977; Katamba, 2003; Watters, 2003; Habwe na Karan...
Utafiti huu ulitathmini mabadiliko ya maana ya msamiati katika muktadha wa kisiasa.Malengo ya utafit...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Makala hii imefafanua sababu za uchangamano wa muundo na mtindo wa riwaya za kisasa uliosababishwa n...
Makala hii inachunguza tofauti za matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali ya mazungumzo. Matumi...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Baadhi ya wataalamu wanaichukulia silabi kama mawanda ambayo kwayo michakato ya kifonolojia hufanyik...
Zaidi ya miongo mitatu iliyopita masuala ya UKIMWI1 yalianza kuripotiwa ulimwenguni. UKIMWI ni mojaw...
Msingi wa kufanya utafiti wa makala hii unatokana na msukumo alioupata mtafiti wa kutaka kuchunguza ...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kijinsia katika Lugha ya Mashairi: Mifano...
Wanafasihi wanatumia mbinu za kisanii kuelezea masuala mbalimbali yanayosawiri hali halisi katika ja...