Vitenzi vya mjongeo ni vile ambavyo vinaonyesha hali ya mjongeo. Mjongeo ni hali ya kitu kimoja kutembea, kuruka, kutambaa, kusogea n.k. kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Vitenzi vya mjongeo ndivyo hasa vinavyoonesha kitendo cha mjongeo, hali ya mjongeo na namna mjongeo unavyotokea (Bleam na Wenzie (Haina mwaka)). Lengo la makala haya ni kuchunguza vitenzi vya mjongeo katika lugha ya Runyambo ili kubaini tabia za vitenzi hivyo. Hata hivyo, si lengo la makala haya kutafuta upya katika vitenzi vya mjongeo ambao haupo katika vitenzi vingine vya Runyambo bali ni kutaka kuziba pengo la kitaaluma lililopo katika uwanja wa vitenzi vya Runyambo kwani Rugemalila (2005) ameshughulikia vitenzi vya Runyambo kwa ujumla bila kuangalia undani wa vitenzi...
Fasihi ya watoto imeendelea kukua na kupanuka katika tanzu zake mbalimbali katika miaka ya hivi kari...
Kwa muda mrefu, tamathali za semi zimekuwa zikichunguzwa na kushughulikiwa zaidi katika uwanja wa fa...
Makala haya yamekusudia kujadili hali ya vitabu vya watoto katika Tanzania. Lengo letu ni kutathmini...
Mofolojia ya vitenzi ni uwanja muhimu katika lugha yoyote ile duniani kutokana na ukweli kuwa kila l...
Kazi hii imeshughulikia sintaksia ya Kirai kijalizo (Kkijzo) na uchopoaji wa viima katika sentensi z...
Unyambulishi ni mchakato wa uundaji wa maneno kwa kutumia vijenzi au vinyambulishi mbalimbali. Katik...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Vyombo vya habari ni asasi muhimu sana katika kukuza na kueneza lugha yoyote ile, hasa katika enzi h...
Kazi hii inachambua mofofonolojia ya vitenzi vya lahaja ya Kipemba kuonesha muundo ndani na muundo n...
Makala haya yamechunguza ruwaza za majina ya mahali ya Kihaya1 kwa kuchanganua vijenzi mbalimbali vi...
Hiponimia ni mojawapo ya mahusiano ya kifahiwa inayoashiria uhusiano ambapo leksimu ya jumla inajumu...
Lugha inaweza kutumiwa kwa njia ya ubunifu wenye ufasaha ufaao ili kuwasiliana au pia ikatumiwa visi...
Makala hii imetumia tamthilia ya Hatia katika kufafanua kilongo cha unyanyasaji wa kiusemi baina ya ...
Utafiti huu ulihusu tathmini ya maana na vigezo vilivyotumika kutoa majina ya utani: Kwa mfano kutok...
Utafiti huu ulilenga kuchunguza usawiri chanya wa mwanamke na ujumbe unaopatika katika vitendawili v...