Makala haya yanachunguza uwezekano wa riwaya ya Kiswahili kutumika katika ufundishaji wa historia. Makala yamejiegemeza katika kuonesha namna ambavyo riwaya kama utanzu mmojawapo wa fasihi unafaa kufundishia historia. Hivyo basi, hoja mbalimbali zinabainishwa ili kuonesha namna ambavyo riwaya ya Kiswahili ilivyo na nafasi ya kutumika kufundishia historia. Katika makala haya, tumeepuka kujiegemeza katika riwaya za kihistoria zilizozoeleka tu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kuna riwaya nyingi ambazo hazichukuliwi kuwa ni za kihistoria lakini zina mengi ya kutueleza kuhusu historia kama inavyobainishwa katika makala haya. Pia, makala haya yametalii hali ilivyo hivi sasa hususan katika kuangalia namna riwaya zinavyotumiwa na baadhi ya wataala...
Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kulinganisha tabia za wahusika wakuu nadhamira katika riwaya ya Kis...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Makala hii inaeleza kwa undani jinsi vipingamizi vya kiutawala vinavyokwamisha juhudi za kutumia lug...
Makala haya yanaangalia kwa kina namna uhistoria unavyojitokeza katika riwaya ya Kiswahili. Makala h...
Katika kuangalia lugha ya Kiswahili, utaona kuwa uchaguzi wa lugha hii kama lugha ya taifa nchini Ke...
Dhima ya lugha ya mawasiliano imejadiliwa na wanazuoni kadhaa. Wengi wameiangalia kama yenye kuongel...
Makala haya yanachukulia kwamba mwandishi wa Kiswahili haandiki tu kwa ajili ya kuandika bali huandi...
Makala hii inajikita kuonesha namna ambavyo utashi wa kisiasa umekuwa na umuhimu katika ustawi wa lu...
Makala hii imefafanua sababu za uchangamano wa muundo na mtindo wa riwaya za kisasa uliosababishwa n...
Makala haya yanatoa maelezo mafupi ya matukio muhimu kuhusu suala la kutumia Kiswahili kama lugha ya...
Makala haya yanafafanua dhima ya ushairi wa Kiswahili katika kujenga uwiano na utangamano katika jam...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza suala la Ukahaba katika riwaya ya Kiswahili kwa kutumia ...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala ya...