Kwa muda mrefu, utanzu wa majigambo umekuwa ukichukuliwa kuwa ni utanzu wa wanaume. Utanzu huu, umehusishwa na ushujaa, ujasiri na ushupavu ambao inaaminika wanawake hawana na hawawezi kuwa nao. Wanawake, kwa upande wao, wamekuwa wakidaiwa kuwa hawana majigambo bali wao huimba tondozi. Makala haya, yanatoa ripoti ya utafiti uliofanyika katika mkoa wa Kagera miongoni mwa kabila la Wahaya. Matokeo ya utafiti huo yanatushawishi kujiuliza upya; je, majigambo ya wanawake yapo au hayapo? Swali hili linatokana na ukweli kwamba, data za uwandani zinatushawishi kuamini kwamba majigambo ya wanawake yapo
Makala haya yanajadili suala la lugha na uhusiano wake na watawala na wanasiasa. Ingawa yanatoa mifa...
Miongoni mwa amali za kijadi za Wazanzibari ni uganga wa pepo (uganga wa shetani). Katika kila kijij...
Makala haya yanachunguza uumbaji wa wahusika katika Gamba la Nyoka ambayo ni mojawapo ya riwaya za E...
Walemavu wamekuwa wakilalamikia matumizi ya majina yanayowarejelea katika jamii ya wazungumzaji wa l...
Utafiti huu ulichunguza Majina ya watu mashuhuri yanavyochangia kuibua majina ya mitaa kisiwani Pemb...
Utafiti huu ulilenga kuchunguza majina ya watu katika jamii ya Wayao ili kuona iwapo yana maana. Kul...
Utendi ni mojawapo ya tanzu za fasihi ya Kiswahili ulio na historia ndefu. Miongoni mwa tendi hizi n...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...
Utafiti huu ulichunguza maana za majina ya watu wa Pemba. Utafiti huu ulifanyika katika kisiwa cha P...
Mada ya utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke katika riwaya kwa kurejelea riwaya ya Utengano...
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala ya...
Kutokana na tofauti za mazingira, tabia ya nchi na hali ya hewa, binadamu wamekuwa na tamaduni zinaz...
Makala haya yanachukulia kwamba mwandishi wa Kiswahili haandiki tu kwa ajili ya kuandika bali huandi...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Utafiti huu ulilenga kuchambua kiisimujamii majina ya koo za kisukuma wilayani Misungwi katika mkoa ...