Wanafasihi wanatumia mbinu za kisanii kuelezea masuala mbalimbali yanayosawiri hali halisi katika jamii zao. Miongoni mwa masuala yanayoelezwa ni athari za ukoloni mamboleo, ukosefu wa haki, uongozi mbovu pamoja na matabaka yaliyotamalaki katika jamii. Makala hii inajaribu kuelezea mchango wa dhamira za fasihi ya Kiswahili katika kujadili hali halisi ya maisha ya kila siku ya jamii hasa katika kipindi hiki cha sera za soko huria katika nchi zinazoendelea. Kwa kurejelea riwaya ya Walenisi ya Katama Mkangi (1995), makala inatalii hali halisi ya nchi zanazoendelea katika kipindi hiki ambapo hali ya uchumi, siasa na utamaduni, kwa kiasi kikubwa, inadhibitiwa na ubepari na mataifa yaliyoendelea. Aidha, makala inadokeza hali halisi, mwelekeo na m...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Kazi hii ni ya utafiti wa kiisimu mitindo unaolenga kulinganisha na kulinganua kazi mbili za tamthil...
Utafiti huu ulilenga kuchunguza usawiri chanya wa mwanamke na ujumbe unaopatika katika vitendawili v...
Mbolezi ni kipengele muhimu katika utamaduni wa mazishi miongoni mwa jamii za Afrika. Makala hii ina...
Usawiri wa mwanamke katika fasihi umechunguzwa na wanazuoni mbalimbali. Tafiti zilizopo zinamuonesh...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Utafiti huu ulilenga kuchambua kiisimujamii majina ya koo za kisukuma wilayani Misungwi katika mkoa ...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Zaidi ya miongo mitatu iliyopita masuala ya UKIMWI1 yalianza kuripotiwa ulimwenguni. UKIMWI ni mojaw...
Methali ni moja kati ya vipengele vya semi ambavyo hutumika sana katika masuala yanayohusu mapenzi n...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Utafiti huu ulitathmini mabadiliko ya maana ya msamiati katika muktadha wa kisiasa.Malengo ya utafit...
Makala hii inawasilisha hoja kuwa fasihi simulizi ni zao la jamii na kwamba inabadilika sambamba na ...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...