Miongoni mwa amali za kijadi za Wazanzibari ni uganga wa pepo (uganga wa shetani). Katika kila kijiji cha Zanzibar hakosekani mganga wa asili. Mganga huyo anaweza kuwa wa mitishamba, mahirizi, makafara, zinguo au pungwa kama komero, rubamba, puuwo na umundi. Katika makala hii tunazungumzia mtindo wa nyimbo za uganga wa pepo – mbinu za utunzi (nyimbo hizi hutungwaje?) hususan katika jamii ya Watumbatu. Waganga wa pepo mara nyingi hutumia nyimbo wakati wa kupunga ili kunogesha uganga na kurahisisha pepo wa muwele apande kichwani kwa haraka kwani inadhaniwa kuwa pepo nao pia wanapenda muziki na nyimbo. Kwa hivyo, wanapoimbiwa hupanda kichwani mara moja bila ya kuchelewa. Nyimbo za uganga wa pepo zimegawanyika katika makundi mawili: nyimbo zina...
Mada ya utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke katika riwaya kwa kurejelea riwaya ya Utengano...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahil...
Lengo la utafiti huu ni Kuchunguza Dhamira na Fani katika Nyimbo za Taarab asilia za Shakila Saidi K...
Nyimbo za ngoma ya Kibati ni nyimbo maarufu sana visiwani Zanzibar. Asili ya nyimbo hizo ni kutoka k...
Makala hii imeangaza muhutasari wa nyimbo na maana ya mafumbo yanayojitokeza katika nyimbo za Taarab...
Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ...
Utafiti huu ulifanywa kwa lengo la kuchunguza dhima za nyimbo za singo katika kijiji cha Uzini Zanzi...
Lengo kuu la utafiti wetu lilikuwa kuchunguza dhima ya nyimbo kwa wafiwa katika jamii ya Wanyakyusa ...
Utafiti huu unahusu nafasi ya nyimbo za Injili katika fasihi ya Kiswahili: mifano kutoka katika nyim...
DIBAJI Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu nami kupata fursa ya kukisoma kitabu hiki am...
Nyimbo za harusi zinatumika katika jamii za Kiafrika tangu karne na karne. Wamakunduchi huzitumia ny...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...
Utafiti huu umechunguza maudhui ya nyimbo za kampeni za uchaguzi mkuu, Zanzibar (2000-2010). Mtafiti...
Utafiti huu unahusu mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa jamii ya wahiyao wa Lulindi Wilaya ya M...
Mbolezi ni kipengele muhimu katika utamaduni wa mazishi miongoni mwa jamii za Afrika. Makala hii ina...