Baadhi ya tafiti zilizofanyika katika tasnia ya filamu za video (filamu) za Kiswahili nchini Tanzania zimeonesha kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya utayarishaji filamu na uuzaji wake. Uhusiano huo ni ule unaoonesha jinsi mchakato wa utayarishaji filamu unavyoweza kuathiri ubora wa filamu, hususan ukosefu wa elimu na taaluma ya filamu kwa wasanii. Pamoja na hayo, tafiti hizo hazikuweza kuweka bayana namna usambazaji unavyoweza kuathiri ubora wa filamu. Makala haya yanalenga kujenga hoja kuwa ubora wa filamu Tanzania ni suala linalochangamana zaidi na mfumo wa usambazaji na uuzaji wa filamu kuliko utayarishaji. Lengo hasa ni kuonesha jinsi ambavyo ubora wa filamu za Tanzania unavyopangwa na wasambazaji-wauzaji na siyo warudufishaji-w...
Mbolezi ni kipengele muhimu katika utamaduni wa mazishi miongoni mwa jamii za Afrika. Makala hii ina...
Fasihi ya Kiswahili ya watoto kama taaluma haina muda mrefu katika historia ya fasihi ya Kiswahili. ...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Taaluma ya tafsiri huingiliana na nyanja nyingine za kitaaluma kutokana na kujishughulisha kwake kat...
Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza jinsi mtaala wa elimu ya sekondari nchini Tanzania kwa ma...
Fasihi ya watoto hutofautiana na fasihi ya watu wazima katika maudhui, fani, mawanda, walengwa na ha...
Makala haya yanalenga kutathmini mitaala ya ufundishaji wa Kiswahili ngazi ya sekondari katika matum...
Makala haya yanajadili mbinu mbalimbali za kutathmini tafsiri katika muktadha wa tafsiri za Kiswahil...
Utafiti huu unahusu usawiri wa ujinsia katika filamu uchunguzi wa matumizi ya lugha katika filamu za...
Makala hii inaichambua dhana ya Uhalisiamazingaombwe kama ambavyo imekuja kutumika hivi karibuni mio...
Makala haya yanalenga kuchambua fani na maudhui, muundo na dhamira za tamthilia za Kiswahili zihusuz...
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi za mafanikio zilizosimuliwa na wakulima ambao wamenufaika na mr...
Madhumuni ya makala hii ni kuonyesha kuwa wataalam wenye wajibu wa kushughulikia tatizo la utayari w...
Ulimwengu wa sasa wa utandawazi umesababisha kuzagaa kwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasil...
Kufanikisha usalama wa chakula kunategemea ufahamu wa wakulima na jamii ya mashambani1 kuhusu dhana ...