Wazungumzaji wazawa wa Kiswahili wa Zanzibar wana dasturi zao katika kuitana. Kabla ya jina hutanguliza neno la heshima. Hali hii hutokea kwa wakubwa na wadogo, wanaojuana na wasiojuana. Makala haya yanahusu maneno ya heshima (onorafiki) katika Kiswahili, namna yanavyotumiwa na wazungumzaji wazawa kulingana na rika na jinsi zao. Makala hasa yanazungumzia namna wazungumzaji wazawa wa lugha ya Kiswahili wa Zanzibar wanavyotumia maneno ya heshima katika kuitana katika mazungumzo yao ya kila siku katika nyumba na maskani zao za mazungumzo na katika sehemu zao mbalimbali za kazi. Data ya utafiti huu imeonesha kuwa maneno ya heshima yanatumika kulingana na rika za watu. Aidha, data imeonesha kuwa wazawa wa lugha ya Kiswahili huyatumia maneno ya h...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...
Kila jamii ina jadi yake ambayo inaweza kutumika katika kuitofautisha jamii hiyo na jamii zingine, z...
Katika kuangalia lugha ya Kiswahili, utaona kuwa uchaguzi wa lugha hii kama lugha ya taifa nchini Ke...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala ya...
Utafiti huu ulichunguza maana za majina ya watu wa Pemba. Utafiti huu ulifanyika katika kisiwa cha P...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Kuingiliana kwa lugha ni taaluma katika uwanja wa isimu inayohusu lugha zinazoingiliana na kuathiria...
Madhumuni ya makala hii ni kuonyesha kuwa wataalam wenye wajibu wa kushughulikia tatizo la utayari w...
Utafiti huu unalenga“Kuchunguza jinsi Nahau za Kiswahili zinavyokwamisha Mawasiliano kwa Wageni wa L...
Kufanikisha usalama wa chakula kunategemea ufahamu wa wakulima na jamii ya mashambani1 kuhusu dhana ...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...
Lengo la makala hii ni kuchunguza namna hadithi za watoto za Kiswahili zinavyoweza kutumika kama nji...
Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza suala la Ukahaba katika riwaya ya Kiswahili kwa kutumia ...