Mofolojia ya vitenzi ni uwanja muhimu katika lugha yoyote ile duniani kutokana na ukweli kuwa kila lugha ina vitenzi na tabia ya vitenzi hutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Vitenzi vya lugha za Kibantu vina sifa ya kuambikwa viambishi awali na viambishi tamati. Mojawapo ya viambishi tamati ni viambishi vya kauli mbalimbali. Viambishi hivi huweza kuathiri muundo wa kitenzi ama muundo wa tungo kwa ujumla katika kuleta maana inayohusika. Mfano, kitenzi elekezi huweza kuwa si elekezi, si elekezi huweza kuwa elekezi ama kitenzi elekezi kuhitaji yambwa nyingine. Makala haya yanalenga kuelezea matokeo ya vitenzi vya Kikuria baada ya unyambulishaji na idadi ya viambishi vinavyoweza kuwekwa pamoja kwenye kitenzi
Dhima ya lugha ya mawasiliano imejadiliwa na wanazuoni kadhaa. Wengi wameiangalia kama yenye kuongel...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Kiswahili ni mojawapo ya lugha za Kiafrika zinazofundishwa nchini Marekani. Baada ya Vita Baridi kui...
Unyambulishi ni mchakato wa uundaji wa maneno kwa kutumia vijenzi au vinyambulishi mbalimbali. Katik...
Kazi hii inachambua mofofonolojia ya vitenzi vya lahaja ya Kipemba kuonesha muundo ndani na muundo n...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Kwa muda mrefu, tamathali za semi zimekuwa zikichunguzwa na kushughulikiwa zaidi katika uwanja wa fa...
Lugha ni chombo muhimu sana cha mawasiliano kilichoundwa na sauti za nasibu za kusemwa na kutumiwa n...
Utafiti huu umechunguza muundo wa kirai kitenzi katika lugha ya Kisambaa. Mtafiti amebainisha vipash...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau ...
Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kulinganisha tabia za wahusika wakuu nadhamira katika riwaya ya Kis...
Makala hii imetumia tamthilia ya Hatia katika kufafanua kilongo cha unyanyasaji wa kiusemi baina ya ...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Vitenzi vya mjongeo ni vile ambavyo vinaonyesha hali ya mjongeo. Mjongeo ni hali ya kitu kimoja kute...