Makala haya yanachukulia kwamba mwandishi wa Kiswahili haandiki tu kwa ajili ya kuandika bali huandika kukidhi mahitaji ya jamii anayoiandikia. Makala yanarejelea jamii pana ya Afrika Mashariki inayotumia lugha ya Kiswahili. Jamii ya mwandishi pia inaweza kuwa nchi mojawapo ya Afrika Mashariki. Tunatambua kwamba fasihi ya Kiswahili ina hadhira pana zaidi kwa maana ya kuwa inaweza kusomwa mahali popote ulimwenguni. Hata hivyo, mwandishi wa Kiswahili huilenga kwanza jamii yake. Hili ni jambo ambalo waandishi wengi wamekiri. Euphrase Kezilahabi, kwa mfano, amesema kwamba huwaandikia Watanzania, hasa wakulima wa mashambani.i Njia mojawapo ya mwandishi kutimiza matarajio ya jamii anayoiandikia ni kumulika kiini cha matatizo na uozo wa jamii inay...
Kiswahili ni lugha pekee ya Kiafrika ambayo imejinyakulia nafasi ya juu miongoni mwa lugha za kimata...
Makala haya yanajadili suala la lugha na uhusiano wake na watawala na wanasiasa. Ingawa yanatoa mifa...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza chimbuko na maendeleo ya Kiswahili na athari zake kw...
Makala haya yanafafanua dhima ya ushairi wa Kiswahili katika kujenga uwiano na utangamano katika jam...
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala ya...
Dhima ya lugha ya mawasiliano imejadiliwa na wanazuoni kadhaa. Wengi wameiangalia kama yenye kuongel...
Lugha ni chombo muhimu sana cha mawasiliano kilichoundwa na sauti za nasibu za kusemwa na kutumiwa n...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Lengo la makala haya ni kutalii sababu zinazomfanya mwandishi wa riwaya ya Kiswahili ya Kimajaribio ...
Makala hii inaichambua dhana ya Uhalisiamazingaombwe kama ambavyo imekuja kutumika hivi karibuni mio...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamw...
Utafiti huu unahusu, Kutathmini usawiri wa mwanamke katika riwaya ya Mfadhili. Kwa nia ya kufanikish...
Katika kuangalia lugha ya Kiswahili, utaona kuwa uchaguzi wa lugha hii kama lugha ya taifa nchini Ke...