Makala haya yanajadili mbinu mbalimbali za kutathmini tafsiri katika muktadha wa tafsiri za Kiswahili na lugha nyingine za Tanzania. Madai makuu ya makala haya ni kwamba tafsiri hufanyiwa tathmini katika hatua zake mbalimbali. Tathmini katika tafsiri1 inaweza kufanyika mwanzo (yaani, kabla ya kuanza kutafsiri), katikati ya mchakato wa kutafsiri na mwishoni (yaani, baada ya tafsiri kufanyika). Tathmini inaweza kufanyika kwa kutumia mbinu ya kulinganisha matini, kufanya tafsiri rejeshi, mbinu ya kupima uelewa, kupima usomekaji na kupima uasili. Madai ya makala haya ni kwamba mbinu hizi hutumika kutegemeana na aina ya tathmini inayofanyika. Aidha, mbinu zaidi ya moja zinaweza kutumika katika kutathmini tafsiri moja. Kupitia tathmini, tafsiri z...
Makala hii inaangaza sababu iliyomsukuma Siti kuishia kutumia mafumbo katika nyimbo zake za Taarab. ...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Sehemu muhimu ya fasihi andishi ya Kiswahili yachukuliwa na fasihi iliyotafsiriwa kutoka lugha za ki...
Utalii ni miongoni mwa sekta muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ni sekta ambayo huliingizia tai...
Taaluma ya tafsiri huingiliana na nyanja nyingine za kitaaluma kutokana na kujishughulisha kwake kat...
Maendeleo katika taaluma ya tafsiri mwanzoni mwa miaka ya tisini yalibadilisha mtazamo kuhusu dhana ...
Makala haya yanalenga kutathmini mitaala ya ufundishaji wa Kiswahili ngazi ya sekondari katika matum...
Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza jinsi mtaala wa elimu ya sekondari nchini Tanzania kwa ma...
Utafiti huu unahusu, Kutathmini usawiri wa mwanamke katika riwaya ya Mfadhili. Kwa nia ya kufanikish...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Mada ya utafiti huu ni “Kutathmini Nafasi ya Mwanamke katika Mashairi ya Kiswahili: Uchunguzi wa Mas...
Utafiti huu ulihusu Kuchunguza Matumizi ya Tafsida Katika Lahaja ya Kipemba. Mtafiti alichagua mada ...
Sarufi inafafanuliwa kama kanuni, sheria au taratibu zinazotawala katika viwango vyote vya uchambuzi...
Methali ni moja kati ya vipengele vya semi ambavyo hutumika sana katika masuala yanayohusu mapenzi n...
Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamw...