Vyombo vya habari ni asasi muhimu sana katika kukuza na kueneza lugha yoyote ile, hasa katika enzi hii ya utandawazi. Vyombo hivyo ni kama vile idhaa za redio, televisheni na magazeti. Katika nchi ya Kenya kuna vyombo vya habari vinavyotoa huduma anuwai kwa ajili ya kutosheleza mahitaji ya wateja wao. Katika karne hii ya 21, vyombo vya habari vimelazimika kuhakikisha kuwa wateja wao wananufaika kutokana na huduma mbalimbali ambazo hutolewa kila kukicha. Huduma hizo hujumuisha kuwajuza, kuwafundisha, kuwaburudisha na hata kuelimisha jamii kwa namna moja au nyingine. Makala haya yanatathmini juhudi za vyombo vya habari katika kukuza na kueneza Kiswahili nchini Kenya kwa kujikita katika gazeti la Taifa Leo, Idhaa za redio (Citizen na KBC), pam...
Nyimbo za ngoma ya Kibati ni nyimbo maarufu sana visiwani Zanzibar. Asili ya nyimbo hizo ni kutoka k...
Unyambulishi ni mchakato wa uundaji wa maneno kwa kutumia vijenzi au vinyambulishi mbalimbali. Katik...
Kazi hii inachambua mofofonolojia ya vitenzi vya lahaja ya Kipemba kuonesha muundo ndani na muundo n...
Lugha inaweza kutumiwa kwa njia ya ubunifu wenye ufasaha ufaao ili kuwasiliana au pia ikatumiwa visi...
Fasihi ya watoto imeendelea kukua na kupanuka katika tanzu zake mbalimbali katika miaka ya hivi kari...
Kazi hii imeshughulikia sintaksia ya Kirai kijalizo (Kkijzo) na uchopoaji wa viima katika sentensi z...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Makala haya yanatathmini iwapo ukuzaji na uendelezaji wa Kiswahili nchini Kenya unategemea shughuli ...
Zaidi ya miongo mitatu iliyopita masuala ya UKIMWI1 yalianza kuripotiwa ulimwenguni. UKIMWI ni mojaw...
Makala hii inadondoa baadhi ya mifano ya miundo ya maneno pamoja na uvunjaji wa mfuatano wa kisarufi...
Makala haya yanafafanua dhima ya ushairi wa Kiswahili katika kujenga uwiano na utangamano katika jam...
Magazeti ni mojawapo ya vyombo vya habari katika jamii vinavyotekeleza jukumu muhimu katika ukuzaji ...
Mbolezi ni kipengele muhimu katika utamaduni wa mazishi miongoni mwa jamii za Afrika. Makala hii ina...
Makala hii inachunguza hali ya somo la isimu ya lugha linalofundishwa katika nyingi ya idara za Kisw...
Ukinzani ni dhana ambayo imefasiliwa kama ubishi au upinzani. Ukinzani katika methali za Kiswahili u...