Madhumuni ya makala hii ni kuonyesha kuwa wataalam wenye wajibu wa kushughulikia tatizo la utayari wa Kiswahili katika elimu walishamaliza kazi yao zamani na wakabainisha kuwa, kwa Tanzania, Kiswahili kikitumika mara moja katika mfumo mzima wa elimu badala ya Kiingereza au lugha nyingine, mabadiliko ya kweli katika maisha ya Mtanzania yataonekana. Kwa kujumuisha mahitimisho ya makala za wataalam mbalimbali, makala hii imetumia nadharia ya udenguzi (Njogu na Chimerah 1999) kuonyesha kuwa lugha ya kuwafundishia Watanzania maarifa ya kuyadhibiti mazingira yao makuu ya ndani ya Tanzania na kuyaishi ilishajulikana tangu zamani. Tatizo ni utekelezaji wake tu. Nadharia hii inaweza pia kuitwa ya kuumbua, au kusambaratisha undani wa dhana iliyo...
Utafiti huu unahusu kuchunguza sifa za kifani za Utendi au Utenzi wa Kiswahili. Utafiti huu ulichung...
Maendeleo ya lugha au somo la Kiswahili katika nyanja za elimu nchini Kenya, kabla na baada ya uhuru...
Taaluma ya tafsiri huingiliana na nyanja nyingine za kitaaluma kutokana na kujishughulisha kwake kat...
Makala haya yanatathmini iwapo ukuzaji na uendelezaji wa Kiswahili nchini Kenya unategemea shughuli ...
Lengo la makala haya ni kujadili mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika ili kuihifadhi lugha ya Kiswah...
Mabaraza na vyombo wenza vya kuendeleza lugha ya Kiswahili kwa upande wa Tanzania Bara na yale ya T...
Katika kuangalia lugha ya Kiswahili, utaona kuwa uchaguzi wa lugha hii kama lugha ya taifa nchini Ke...
Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza jinsi mtaala wa elimu ya sekondari nchini Tanzania kwa ma...
Kuingiliana kwa lugha ni taaluma katika uwanja wa isimu inayohusu lugha zinazoingiliana na kuathiria...
Ulimwengu wa sasa wa utandawazi umesababisha kuzagaa kwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasil...
Kiswahili ni lugha pekee ya Kiafrika ambayo imejinyakulia nafasi ya juu miongoni mwa lugha za kimata...
Makala hii inaeleza matatizo yanayotokana na kutumia Kiingereza kufundishia katika shule za sekondar...
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala ya...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Makala haya yanatoa maelezo mafupi ya matukio muhimu kuhusu suala la kutumia Kiswahili kama lugha ya...