Makala hii inaeleza kwa undani jinsi vipingamizi vya kiutawala vinavyokwamisha juhudi za kutumia lugha ya Kiswahili katika kufundishia shule za sekondari na vyuo. Vipingamizi hivyo ni pamoja na migogoro ya sera, ukosefu wa msukumo wa kisiasa na kisheria, kasumba, udhaifu wa vyombo vya kukuza Kiswahili na shinikizo kutoka nje. Pia, makala inatoa mapendekelezo kadhaa ili Kiswahili kiweze kutumika kama lugha ya kufundishia katika sekondari na vyuo. Baadhi ya mapendekezo hayo ni; utekelezaji wa programu ya mwaka 1999, kuanzisha shule chache za sekondari za majaribio zitakazotumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia na kuunda sheria zitakazohimiza matumizi ya Kiswahili. Aidha, marekebisho ya katiba yazingatie umuhimu wa Kiswahili kama lugha...
Makala haya yanachunguza uwezekano wa riwaya ya Kiswahili kutumika katika ufundishaji wa historia. M...
Kiswahili ni mojawapo ya lugha za Kiafrika zinazofundishwa nchini Marekani. Baada ya Vita Baridi kui...
Unyambulishi ni mchakato wa uundaji wa maneno kwa kutumia vijenzi au vinyambulishi mbalimbali. Katik...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Makala haya yanatoa maelezo mafupi ya matukio muhimu kuhusu suala la kutumia Kiswahili kama lugha ya...
Msingi wa kufanya utafiti wa makala hii unatokana na msukumo alioupata mtafiti wa kutaka kuchunguza ...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Lengo la makala haya ni kujadili mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika ili kuihifadhi lugha ya Kiswah...
Dhima ya lugha ya mawasiliano imejadiliwa na wanazuoni kadhaa. Wengi wameiangalia kama yenye kuongel...
Kazi hii imeshughulikia sintaksia ya Kirai kijalizo (Kkijzo) na uchopoaji wa viima katika sentensi z...
Makala hii inaichambua dhana ya Uhalisiamazingaombwe kama ambavyo imekuja kutumika hivi karibuni mio...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Kwa muda mrefu, tamathali za semi zimekuwa zikichunguzwa na kushughulikiwa zaidi katika uwanja wa fa...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Makala haya yanaonesha athari za uhamishaji wa sintaksia ya Kiluo kwa upatanishi wa sarufi ya Kiswah...