Makala hii inaichambua dhana ya Uhalisiamazingaombwe kama ambavyo imekuja kutumika hivi karibuni miongoni mwa wandishi na wahakiki wa fasihi ya Kiswahili. Pamoja na kutoa mifano ya kazi mbalimbali za fasihi ya Kiswahili ambamo mna mtindo wa Uhalisiamazingaombwe, uchambuzi katika makala hii unatumia zaidi hadithi fupi ya Said Ahmed Mohamed ya “Sadiki Ukipenda” na riwaya fupi ya E. Kezilahabi ya Nagona kama vielelezo vya namna Uhalisiamazingaombwe ulivyotumika katika kazi za fasihi ya Kiswahili. Swali ambalo makala hii inaliibua na kujaribu kulijibu ni je, ni kweli kuwa, kama anavyodai Said Ahmed Mohamed, Uhalisiamazingaombwe ni mtindo wa hivi karibuni tu na kwamba ndiyo kwanza dhana hii imeanza kushika kasi miongoni mwa waandishi wa fasihi y...
Makala haya yanachukulia kwamba mwandishi wa Kiswahili haandiki tu kwa ajili ya kuandika bali huandi...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Fasihi ya watoto hutofautiana na fasihi ya watu wazima katika maudhui, fani, mawanda, walengwa na ha...
Fasihi ya watoto imeendelea kukua na kupanuka katika tanzu zake mbalimbali katika miaka ya hivi kari...
Kwa wachambuzi na wahakiki wa fasihi ya Kiswahili, mtazamo umekuwa ni wa kugawa makundi mawili: fani...
Makala hii inashughulikia matumizi ya taswira ya ulemavu wa akili kama mbinu ya uzinduzi wa jamii ka...
Kwa muda mrefu, tamathali za semi zimekuwa zikichunguzwa na kushughulikiwa zaidi katika uwanja wa fa...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Fasihi ya Kiswahili ya watoto kama taaluma haina muda mrefu katika historia ya fasihi ya Kiswahili. ...
Wasimulizi na waandishi wa fasihi ya Kiswahili kwa watoto, wamekuwa wakitumia mtindo wa kuchanganya ...
Fonimu ni kipashio kidogo cha sauti ya lugha chenye uwezo wa kubainisha maana na hudhihirika kama ir...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Katika kuangalia lugha ya Kiswahili, utaona kuwa uchaguzi wa lugha hii kama lugha ya taifa nchini Ke...
Msingi wa kufanya utafiti wa makala hii unatokana na msukumo alioupata mtafiti wa kutaka kuchunguza ...
Makala haya yanafafanua dhima ya ushairi wa Kiswahili katika kujenga uwiano na utangamano katika jam...