Kazi hii ni ya utafiti wa kiisimu mitindo unaolenga kulinganisha na kulinganua kazi mbili za tamthiliya za Kiswahili ambazo ni Heshima Yangu (Muhando, 1974) na Machozi ya Mwanamke (Ngozi, 1977). Kwanza, makala inachunguza matumizi ya kauli za utendwa/utendewa katika tamthiliya hizi ili kujua kama ni ya hiari au shinikizo la muktadha. Vilevile lengo ni kujua tofauti ya matumizi hayo kwa waandishi hawa ili kuona wana mwelekeo gani. Pili, makala inatafuta sababu za matumizi haya ya kauli zenye utendwa/utendewa katika tamthiliya hizo. Baada ya hapo, makala inachunguza aina za utendwa/utendewa zilizojitokeza katika tamthiliya hizo. Dai tete linaloongoza makala hii ni kwamba, katika tamthilia hizi mbili, wanaume wanatumia kwa wingi kauli zenye u...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa k...

Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamw...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau ...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...
Wanafasihi wanatumia mbinu za kisanii kuelezea masuala mbalimbali yanayosawiri hali halisi katika ja...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza matumizi ya mbinu za kisanaa katika tamthiliya ya Mo...
Utafiti huu ulitathmini mabadiliko ya maana ya msamiati katika muktadha wa kisiasa.Malengo ya utafit...
Usawiri wa mwanamke katika fasihi umechunguzwa na wanazuoni mbalimbali. Tafiti zilizopo zinamuonesh...
Makala haya yanalenga kutathmini mitaala ya ufundishaji wa Kiswahili ngazi ya sekondari katika matum...
Makala hii inachunguza tofauti za matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali ya mazungumzo. Matumi...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...