Taaluma ya tafsiri huingiliana na nyanja nyingine za kitaaluma kutokana na kujishughulisha kwake katika mawasiliano. Makala haya yanachunguza tafsiri ya mazungumzo ya Kiingereza katika filamu za Kiswahili nchini Tanzania. Filamu zilizoteuliwa katika uchunguzi ni ile ya Vita Baridi na Love & Power. Kimahususi, makala imechunguza mikakati mbalimbali iliyotumika kupata tafsiri ya mazungumzo ya Kiingereza kwenye filamu za Kiswahili wakati inajulikana kwamba mfumo wa mazungumzo na maandishi hutofautiana kisifa. Pia tafsiri ya mazungumzo ina kanuni na sheria zake. Sambamba na hayo, lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutofautiana kiisimu, kitamaduni, kimazingira pamoja na kihistoria. Data zimechambuliwa kwa kuongozwa na nadharia ya ulinganifu ka...
Nyenzo kuu za kuenezea utandawazi ni lugha, fasihi yake, vyombo vya habari, muziki na tafsiri. Tunap...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Utafiti huu uliwalenga wanafunzi wa skuli za msingi na sekondari za Makunduchi zilizo katika wilaya ...
Makala haya yanajadili mbinu mbalimbali za kutathmini tafsiri katika muktadha wa tafsiri za Kiswahil...
Sehemu muhimu ya fasihi andishi ya Kiswahili yachukuliwa na fasihi iliyotafsiriwa kutoka lugha za ki...
Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza jinsi mtaala wa elimu ya sekondari nchini Tanzania kwa ma...
Utalii ni miongoni mwa sekta muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ni sekta ambayo huliingizia tai...
Utafiti huu ulihusu Kuchunguza Matumizi ya Tafsida Katika Lahaja ya Kipemba. Mtafiti alichagua mada ...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Makala haya yanalenga kutathmini mitaala ya ufundishaji wa Kiswahili ngazi ya sekondari katika matum...
Maendeleo katika taaluma ya tafsiri mwanzoni mwa miaka ya tisini yalibadilisha mtazamo kuhusu dhana ...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Baadhi ya tafiti zilizofanyika katika tasnia ya filamu za video (filamu) za Kiswahili nchini Tanzani...
Sarufi inafafanuliwa kama kanuni, sheria au taratibu zinazotawala katika viwango vyote vya uchambuzi...
Madhumuni ya makala hii ni kuonyesha kuwa wataalam wenye wajibu wa kushughulikia tatizo la utayari w...