Utafiti huu unahusu kuchunguza dhana zilizobebwa na wahusika na zinavyolandana na majina yao katika riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki. Ili kufikia lengo, mtafiti alichunguza na kubainisha wahusika, pia alichunguza mlandano wa wahusika kupitia mbinu mbali mbali na alichambua dhamira mbali mbali zilizobebwa na wahusika hao na jinsi zinavyolandana na majina yao katika riwaya teuliwa. Utafiti huu ulitumia mbinu ya maktabani. Riwaya teuliwa ziliteuliwa kwa kutumia mbinu ya malengo maalumu. Aidha, data za utafiti huu zilikusanywa na kuchambuliwa kwa mbinu ya kimaelezo kutoka katika riwaya teuliwa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya sosholojia na nadharia ya mwitiko wa msomaji. Utafiti huu uligundua kuwa, kazi hizo teuliwa zimetumia wahusika wakuu...
Utafiti huu unahusu ufasihi simulizi katika riwaya za Shaaban Robert kwa kutumia mifano ya riwaya: M...
Utafiti huu unahusu: Kuchunguza Fani na Dhamira ya Malezi ya Watoto katika Riwaya ya Kiswahili: Mfan...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona. Katika k...
Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kulinganisha tabia za wahusika wakuu nadhamira katika riwaya ya Kis...
Lengo la utafiti huu ni Kutathimini Mbinu za Usawiri wa Wahusika katika Riwaya ya Dunia uwanja wa fu...
Mada ya utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke katika riwaya kwa kurejelea riwaya ya Utengano...
Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ...
Utafiti huu ulilenga kuchunguza majina ya watu katika jamii ya Wayao ili kuona iwapo yana maana. Kul...
Utafiti huu ulichunguza fasihi ya majina ya mitaa ya Mjini Unguja. Ndani ya majina ya mitaa mna sir...
Utafiti huu unahusu Kuchunguza Matumizi ya Lugha Katika Riwaya ya Kichwamaji na Vuta n’kuvute – Utaf...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Tasnifu hii inawasilisha uchunguzi uliofanywa kuhusu michakato na mbinu zilizotumika katika uundaji ...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Utafiti huu ulichunguza Majina ya watu mashuhuri yanavyochangia kuibua majina ya mitaa kisiwani Pemb...
Utafiti huu ulichunguza maana za majina ya watu wa Pemba. Utafiti huu ulifanyika katika kisiwa cha P...