Lengo la Tasnifu hii ni kuchunguza Athari ya lugha ya Kijita Katika Kujifunza lugha Kiswahili Kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi, sababu za athari hizo na mbinu za kutatua athari hizo. Utafiti huu umefanywa Wilaya ya Musoma vijijini na Manispaa ya Musoma katika mkoa wa Mara. Kata mbili zilishirikishwa ambazo ni kata ya Suguti na Makoko. Shule za msingi za Suguti, Kusenyi, Buhare, Nyarigamba na Mtakuja zilichunguzwa ili kubaini athari za lugha ya Kijita katika kujifunza Kiswahili.Utafiti huu umetumia nadharia ya Fonolojia Zalishi Asilia ambayo huchunguza bayana athari hizo za lugha ya kwanza ( Kijita) katika kujifunza lugha ya Kiswahili. Aidha nadharia hii huchukulia kuwa makosa katika lugha ya pili ( Kiswahili) husababishwa na athari ya lu...
Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza, kubaini na kulinganisha mofu njeo za kitenzi cha Kikara na...
Utafiti huu unahusu Athari za Itikadi katika nyimbo za Harusi za Kizanzibari. Utafiti ulifanyika ka...
Utafiti huu unahusu nafasi ya nyimbo za Injili katika fasihi ya Kiswahili: mifano kutoka katika nyim...
Utafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza Athari za Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili...
Utafiti huu umechunguza jinsi lugha ya Kiswahili inavyoiathiri kiisimu lugha ya Kiyao. Lugha hizi zi...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...
Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughain...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza chimbuko na maendeleo ya Kiswahili na athari zake kw...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Utafiti huu uliwalenga wanafunzi wa skuli za msingi na sekondari za Makunduchi zilizo katika wilaya ...
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala ya...
Makala haya yanaonesha athari za uhamishaji wa sintaksia ya Kiluo kwa upatanishi wa sarufi ya Kiswah...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza tofauti za lahaja ya Kipemba katika lugha ya Kiswahi...
Makala haya yanalenga kutathmini mitaala ya ufundishaji wa Kiswahili ngazi ya sekondari katika matum...