Utafiti huu unahusu kuchunguza sifa za kifani za Utendi au Utenzi wa Kiswahili. Utafiti huu ulichunguza vipengele vya fani kama vile; muundo, mtindo, wahusika, mandhari na matumizi ya lugha katika Utendi wa Kiswahili. Mfano, Utendi wa Fumo Liyongo, ili, kuona ni jinsi gani sifa za kifani zinavyojidhihirisha katika tenzi za Kiswahili. Utafiti huu ulitumia mbinu ya Maktaba. Wateuliwa wa utafiti huu walipatikana kwa kutumia mbinu ya madhumuni maalumu. Aidha, data za utafiti huu zilichambuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo. Utafiti huu umegundua kuwa tenzi za Kiswahili, zina sifa za kifani mahususi. Utafiti huu umegundua kuwa, neno na dhana tenzi ni sawa na tendi miongoni mwa jamii za Waswahili. Aidha, utafiti umegundua kuwa, tenzi za Kiswahil...
Utafiti huu ulihusu Kufanana na kutofautiana kwa maudhui na fani kati ya methali za Kitanzania na Ki...
Utafiti huu unalenga“Kuchunguza jinsi Nahau za Kiswahili zinavyokwamisha Mawasiliano kwa Wageni wa L...
Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza suala la Ukahaba katika riwaya ya Kiswahili kwa kutumia ...
Fonimu ni kipashio kidogo cha sauti ya lugha chenye uwezo wa kubainisha maana na hudhihirika kama ir...
Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza jinsi mtaala wa elimu ya sekondari nchini Tanzania kwa ma...
Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza, kubaini na kulinganisha mofu njeo za kitenzi cha Kikara na...
Utendi ni mojawapo ya tanzu za fasihi ya Kiswahili ulio na historia ndefu. Miongoni mwa tendi hizi n...
Utafiti huu ulichunguza maana za majina ya watu wa Pemba. Utafiti huu ulifanyika katika kisiwa cha P...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Makala haya yanatathmini iwapo ukuzaji na uendelezaji wa Kiswahili nchini Kenya unategemea shughuli ...
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa k...

Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza tofauti za msamiati baina ya Kiswahili kizungumzwacho Mi...
Utafiti huuulilenga kuchunguza changamoto zilizopo katika kutafsiri tungo tata za lugha ya Kiswahili...
Utafiti huu umechunguza jinsi lugha ya Kiswahili inavyoiathiri kiisimu lugha ya Kiyao. Lugha hizi zi...