Nyimbo za harusi zinatumika katika jamii za Kiafrika tangu karne na karne. Wamakunduchi huzitumia nyimbo hizo kuwafunza wanandoa. Mtafiti amefanya utafiti katika shehia tano za mji wa Makunduchi ambazo ni Kijini, Nganani, Kajengwa, Mzuri na Tasani. Lengo ni kuchunguza dhima za nyimbo za harusi kwa jamii ya Wamakunduchi. Utafiti ulikusanya data Maskanini. Mbinu zilizotumika kukusanyia data hizo ni usaili, hojaji na ushiriki. Nadharia tatu zimetumika katika utafiti huu, ambazo ni nadharia ya Maana, nadharia ya Umuundo na nadharia ya Ndani-nje. Nadharia hizi zimeweza kutoa mwongozo kwa mtafiti kuchambua lugha inayotumika katika nyimbo za harusi za Wamakunduchi, na kuibua dhima za nyimbo hizo kwa jamii hiyo. Data zimekusanywa kutoka kwa vijana...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa k...

Utafiti huu umeshughulikia dhamira katika nyimbo bembelezi za watoto mifano kutoka Makunduchi. Ili k...
Nyimbo za ngoma ya Kibati ni nyimbo maarufu sana visiwani Zanzibar. Asili ya nyimbo hizo ni kutoka k...
Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ...
Utafiti huu ulifanywa kwa lengo la kuchunguza dhima za nyimbo za singo katika kijiji cha Uzini Zanzi...
Lengo kuu la utafiti wetu lilikuwa kuchunguza dhima ya nyimbo kwa wafiwa katika jamii ya Wanyakyusa ...
Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumun...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahil...
Lengo la utafiti huu ni Kuchunguza Dhamira na Fani katika Nyimbo za Taarab asilia za Shakila Saidi K...
Utafiti huu unahusu nafasi ya nyimbo za Injili katika fasihi ya Kiswahili: mifano kutoka katika nyim...
Makala hii imeangaza muhutasari wa nyimbo na maana ya mafumbo yanayojitokeza katika nyimbo za Taarab...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...
Makusudi ya kufanya utafiti huu, ni kutathmini dhima ya nyimbo katika kukuza nakuimarisha Malezi,mfa...