Utafiti huu unahusu usawiri wa ujinsia katika filamu uchunguzi wa matumizi ya lugha katika filamu za Steven Kanumba. Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa kijinsia katika lugha ya filamu za Steven Kanumba ili kuona ni jinsi gani lugha inatumika kusawiri masuala ya kijinsia katika jamii. Utafiti huu ulitumia mbinu nne za ukusanyaji data ambazo ni; maktaba, usaili, dodoso na majadiliano ya vikundi. Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kwa kutumia mbinu ya; madhumuni maalum na utuezi nasibu wa sampuli. Utafiti huu umegundua kuwa, filamu za Kanumba zimetumia lugha kwa namna ambayo inasawiri mahusiano ya kijinsia katika jamii mbalimbali hususani jamii ya Watanzania na Afrika. Matokeo ya utafiti huu yamebainisha kuwa Kanumba katika filam...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Utu uzima katika jamii nyingi za Kiafrika huhusishwa na uhuru wa kushiriki mahusiano anuwai ya kijam...
Mada ya utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke katika riwaya kwa kurejelea riwaya ya Utengano...
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa k...

Kazi hii ilihusika na Ulinganishi wa Kiisimu uliopo baina ya lahaja ya Kipemba na Kitumbatu.Utafiti ...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kijinsia katika Lugha ya Mashairi: Mifano...
Lengo la utafiti huu ni Kutathimini Mbinu za Usawiri wa Wahusika katika Riwaya ya Dunia uwanja wa fu...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Utafiti huu unahusu, Kutathmini usawiri wa mwanamke katika riwaya ya Mfadhili. Kwa nia ya kufanikish...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Mada ya utafiti huu ni “Kutathmini Nafasi ya Mwanamke katika Mashairi ya Kiswahili: Uchunguzi wa Mas...
Utafiti huu ulilenga kuchambua kiisimujamii majina ya koo za kisukuma wilayani Misungwi katika mkoa ...