Utafiti huu unahusu mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa jamii ya wahiyao wa Lulindi Wilaya ya Masasi. Utafiti umechunguza ubora na udhaifu wa mafunzo hayo kwa vijana wa jamii hiyo. Utafiti umelenga kukusanya na kuchanganua data, kuhakiki na kuelezea mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa jamii ya Wahiyao wa Lulindi wilayani Masasi. Utafiti umeweka msisitizo zaidi juu ya mafunzo ya yapatikanayo kwenye nyimbo za jando na unyago kama tanzu ya fasihi simulizi. Nyimbo za jando na unyago zimekuwa na mjadala mkubwa kwa jamii ya wahiyao. Hii imetokana na mwelekeo hasi wa vijana wa kihiyao. Hali hiyo imechochea kufanyika kwa utafiti huu ili kupata ukweli wa yale yanayosemwa na wasemaje wa tatizo hilo
Makala hii inalenga kubainisha jinsi ubadilishaji msimbo unavyotumika katika mijadala ya Bunge la Ta...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahil...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...
Makala hii imeangaza muhutasari wa nyimbo na maana ya mafumbo yanayojitokeza katika nyimbo za Taarab...
Utafiti huu unahusu nafasi ya nyimbo za Injili katika fasihi ya Kiswahili: mifano kutoka katika nyim...
Nyimbo za harusi zinatumika katika jamii za Kiafrika tangu karne na karne. Wamakunduchi huzitumia ny...
Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ...
Utafiti huu ulilenga kuchunguza majina ya watu katika jamii ya Wayao ili kuona iwapo yana maana. Kul...
Utafiti huu ulifanywa kwa lengo la kuchunguza dhima za nyimbo za singo katika kijiji cha Uzini Zanzi...
Lengo kuu la utafiti wetu lilikuwa kuchunguza dhima ya nyimbo kwa wafiwa katika jamii ya Wanyakyusa ...
Makala haya yanalenga kuibua mabadiliko mbalimbali yanayojitokeza katika nyimbo za jamii ya Shisafwa...
Miongoni mwa amali za kijadi za Wazanzibari ni uganga wa pepo (uganga wa shetani). Katika kila kijij...
Utafiti huu ulihusu tathmini ya maana na vigezo vilivyotumika kutoa majina ya utani: Kwa mfano kutok...
Nyimbo za ngoma ya Kibati ni nyimbo maarufu sana visiwani Zanzibar. Asili ya nyimbo hizo ni kutoka k...
Makala hii inaangaza sababu iliyomsukuma Siti kuishia kutumia mafumbo katika nyimbo zake za Taarab. ...