Methali ni moja kati ya vipengele vya semi ambavyo hutumika sana katika masuala yanayohusu mapenzi na ndoa. Mara nyingi mtu huweza kuwasikia wanawake wakipigana mafumbo wanapokwenda visimani, maharusini na hata wanapokwenda matangani. Mara nyenginemafumbo hayo hayajidhihirishi wazi wazi bali vifaa kama vile kanga, makawa, mikoba na mfano wa hayo, hutumika katika kufikisha ujumbe Fulani kuhusiana na msuala hayo ya mapenzi na ndoa. Mbali na upande wa mapenzi na ndoa, methali hutumiwa pia katika kutoa utangulizi na uhitimishi wa maongezi Fulani hasa yale yanayohusu kuwakanya vijana. Kutokana na matumizi hayo makubwa ya methali, mtafiti aliingia hamu ya kutaka kuelewa kwa namna gani methali za Kiswahili zinasawiri masuala ya mapenzi na ndoa za ...
Mtandao wa tovuti ni nyenzo ya msingi katika maendeleo ya uwanja wa mawasiliano unaounganisha watu n...
Utafiti huu ulichunguza Majina ya watu mashuhuri yanavyochangia kuibua majina ya mitaa kisiwani Pemb...
Makala haya yanajadili mbinu mbalimbali za kutathmini tafsiri katika muktadha wa tafsiri za Kiswahil...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Tasnifu hii inahusu matumizi ya methali katika jamii ya Wanyiramba. Kutokana na utafiti uliofanywa u...
Methali ni kipera muhimu cha fasihi simulizi katika kutoa mafunzo kutokana na maudhui yapatikanayo h...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Utafiti huu unahusu Kuchunguza Dhima za Methali zinavyoendeleza Elimu ya jadi. Mfano Kutoka Jamii ya...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Utafiti huu unahusu ufasihi simulizi katika riwaya za Shaaban Robert kwa kutumia mifano ya riwaya: M...
Ukinzani ni dhana ambayo imefasiliwa kama ubishi au upinzani. Ukinzani katika methali za Kiswahili u...
Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughain...
Makala haya yanajadili matatizo ya lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo. Makala ya...