Mada ya utafiti huu ni “Kutathmini Nafasi ya Mwanamke katika Mashairi ya Kiswahili: Uchunguzi wa Mashairi ya Shaaban Robert na Mathias Mnyampala.” Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kulinganisha nafasi ya mwanamke katika mashairi ya Shaaban Robert na Mathias Mnyampala ili kubaini falsafa yao juu ya mwanamke katika jamii. Madhumuni mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni kulinganisha na kulinganua usawiri wa mwanamke katika mashairi ya Shaaban Robert na Mathias Mnyampala, kulinganisha na kulinganua matumizi ya lugha ya kisanaa inayotumiwa na Shaaban Robert na Mathias Mnyampala katika kusawiri nafasi ya mwanamke na kubainisha falsafa ya Shaaban Robert na Mathias Mnyampala juu ya nafasi waliyompa mwanamke katika mashairi yao. Nadharia ya Kifemin...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza jinsi mtaala wa elimu ya sekondari nchini Tanzania kwa ma...
Utafiti huu unahusu, Kutathmini usawiri wa mwanamke katika riwaya ya Mfadhili. Kwa nia ya kufanikish...
Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamw...
Utafiti huu unachunguza nafasi ya mwanamke na matumizi ya lugha katika tamthiliya za Kwenye Ukingo w...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona. Katika k...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kisiasa katika Riwaya za Shaaban Robert: Mfano ...
Utafiti huu unahusu usawiri wa ujinsia katika filamu uchunguzi wa matumizi ya lugha katika filamu za...
Utafiti huu unahusu ufasihi simulizi katika riwaya za Shaaban Robert kwa kutumia mifano ya riwaya: M...
Utafiti huu unahusu nafasi ya nyimbo za Injili katika fasihi ya Kiswahili: mifano kutoka katika nyim...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza masuala ya Kijinsia katika Lugha ya Mashairi: Mifano...
Makala haya yanajadili mbinu mbalimbali za kutathmini tafsiri katika muktadha wa tafsiri za Kiswahil...
Makala haya yanalenga kutathmini mitaala ya ufundishaji wa Kiswahili ngazi ya sekondari katika matum...
Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. ...