Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughaingawaje jamii nyingi sasa zimeingia katika eneo la matumizi ya lugha kwa sababu mbali mbali. Kutokana na hali hiyo mfumo wa matumizi ya lugha umekua ukichukua sura tofauti kila uchao kutokana na maendeleo sayansi na teknolojia. Pia ongezeko la maingiliano ya watu kutoka sehemu mbali mbali za ulimwenguni na haja ya mawasiliano. Kwa sababu ya kupanuka kwa wigo huo matumizi ya lugha hufanywa katika mitindo tofauti jambo ambalo limezaa changamoto na athari katika Isimujamii, mawasiliano na katika Kiswahili kwa ujumla. Mabadiliko ya sarufi na mgawanyiko wa makundi ya watu ni moja ya changamoto na athari hizo. Ili kujua athari za matumizi hayo ya...
Methali ni kipera muhimu cha fasihi simulizi katika kutoa mafunzo kutokana na maudhui yapatikanayo h...
Utafiti huu uliwalenga wanafunzi wa skuli za msingi na sekondari za Makunduchi zilizo katika wilaya ...
Dhima ya lugha ya mawasiliano imejadiliwa na wanazuoni kadhaa. Wengi wameiangalia kama yenye kuongel...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...
Lengo la Tasnifu hii ni kuchunguza Athari ya lugha ya Kijita Katika Kujifunza lugha Kiswahili Kwa Wa...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza chimbuko na maendeleo ya Kiswahili na athari zake kw...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Utafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza Athari za Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili...
Tasnifu hii inahusu matumizi ya methali katika jamii ya Wanyiramba. Kutokana na utafiti uliofanywa u...
Lugha ni chombo muhimu sana cha mawasiliano kilichoundwa na sauti za nasibu za kusemwa na kutumiwa n...
Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamw...
Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kup...