Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. Ujenzi wa taswira zinazowasilisha mada nyeti za kijamii ni changamoto ya kiusanii inayoibua maswala tata. Ndiposa wasilisho hili linachunguza mjadala wa usawiri wa mwanamke katika ushairi wa kisasa. Mada nyingi zinazohakiki matini za kishairi hulenga miuundo, mitindo na maswala mengineyo ya kijamii bila kuangazia swala la utata wa mwanamke. Uzingatifu wa vipengee hivi umefifisha uangafu wa taswira ya mwanamke katika ushairi wa Kiswahili kana kwamba ushairi umempuuza mwanamke kama mhusika mkuu. Tunachukulia kwamba matini za kishairi za kisasa zinahusisha mbinu na nyenzo mpya ambazo zimebadilisha sura na taswira ya mwanamke. Maswali yanayoibuka...
Makala hii inaichambua dhana ya Uhalisiamazingaombwe kama ambavyo imekuja kutumika hivi karibuni mio...
Makala haya yanafafanua dhima ya ushairi wa Kiswahili katika kujenga uwiano na utangamano katika jam...
Fasihi ya watoto hutofautiana na fasihi ya watu wazima katika maudhui, fani, mawanda, walengwa na ha...
Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. ...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Mada ya utafiti huu ni “Kutathmini Nafasi ya Mwanamke katika Mashairi ya Kiswahili: Uchunguzi wa Mas...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kup...
Utafiti huu unahusu, Kutathmini usawiri wa mwanamke katika riwaya ya Mfadhili. Kwa nia ya kufanikish...
Mada ya utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke katika riwaya kwa kurejelea riwaya ya Utengano...
Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamw...
Fasihi ya watoto imeendelea kukua na kupanuka katika tanzu zake mbalimbali katika miaka ya hivi kari...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...