Utafiti huu unahusu Kuchunguza Dhima za Methali zinavyoendeleza Elimu ya jadi. Mfano Kutoka Jamii ya Wapare wa Shighatini Mwanga. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya Fasihi Ina Kwao. Kwa upande wa mbinu za kukusanyia data, mtafiti ametumia mbinu ya umakinifu, usaili, hojaji, kusoma machapishi na wasaidizi katika kukusanya data. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa, kundi la watu, wanaozingatia mila na dasturi za Kipare, ikiwa ni pamoja na matumizi ya methali za Kipare wanakuwa na maadili mazuri. Imebainika kuwa, kumekuwa na kushuka kwa maadili katika jamii ya Wapare kwa kadiri siku zinavyosonga mbele. Hali hiyo imesababishwa na hali ya vijana wengi kupuuza mila za Kipare na wazee kutotia juhudi kubwa katika kuzirithisha mila zao kwa vij...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Mada ya utafiti huu ni kuchunguza dhamira za kijamii katika tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthi...
Fasihi ya watoto hutofautiana na fasihi ya watu wazima katika maudhui, fani, mawanda, walengwa na ha...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza dhima ya methali za jamii ya Wasimbiti wa Rorya mkoani Mar...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...
Methali ni kipera muhimu cha fasihi simulizi katika kutoa mafunzo kutokana na maudhui yapatikanayo h...
Tasnifu hii inahusu matumizi ya methali katika jamii ya Wanyiramba. Kutokana na utafiti uliofanywa u...
Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumun...
Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ...
Methali ni moja kati ya vipengele vya semi ambavyo hutumika sana katika masuala yanayohusu mapenzi n...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Lengo kuu la utafiti wetu lilikuwa kuchunguza dhima ya nyimbo kwa wafiwa katika jamii ya Wanyakyusa ...
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa k...

Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...