Utafiti huu umechunguza maudhui ya nyimbo za kampeni za uchaguzi mkuu, Zanzibar (2000-2010). Mtafiti aliongozwa na madhumuni mahsusi matatu, la kwanza, kuchunguza na kuainisha nyimbo za kampeni za uchaguzi mkuu, Zanzibar 2000-2010, la pili, Kutathmini mchango wa nyimbo za kampeni za uchaguzi mkuu Zanzibar, katika kustawisha jamii ya Wazanzibari, na la tatu, Kutafuta mbinu za kufanya nyimbo hizo ziwe zinaleta umoja badala ya utengano katika jamii ya Wazanzibari. Katika kufanikisha madhumuni hayo, mtafiti alifuata njia zilizostahiki kwenda kwenye vikundi vya ngoma na kukutana na malenga ili kupata data alizozihitaji kwa watafitiwa. Watafitiwa hao waligawanyika katika makundi ya vijana, watu wazima wenye maarifa na kumbukumbu za mambo ya kihis...
Utafiti huu unahusu maudhui na fani katika tamthilia za kiswahili ambao umetumia mifano ya tamthilia...
Mada ya utafiti huu ilikuwa ni kuchunguza Taswira ya mwanamke katika Ngano za Jamii ya Wanyamwezi. L...
Lengo la utafiti huu ni kuchunguza mbinu za ufutuhi katika kufikisha maudhui katika tamthiliya kwa k...
Nyimbo za ngoma ya Kibati ni nyimbo maarufu sana visiwani Zanzibar. Asili ya nyimbo hizo ni kutoka k...
Nyimbo za harusi zinatumika katika jamii za Kiafrika tangu karne na karne. Wamakunduchi huzitumia ny...
Utafiti huu ulifanywa kwa lengo la kuchunguza dhima za nyimbo za singo katika kijiji cha Uzini Zanzi...
Utafiti huu unahusu kuchunguza dhima za nyimbo za ngoma ya msondo. Utafiti ulifanyika katika shehia ...
Makala hii imeangaza muhutasari wa nyimbo na maana ya mafumbo yanayojitokeza katika nyimbo za Taarab...
Miongoni mwa amali za kijadi za Wazanzibari ni uganga wa pepo (uganga wa shetani). Katika kila kijij...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Makala haya yanalenga kuchambua fani na maudhui, muundo na dhamira za tamthilia za Kiswahili zihusuz...
Methali ni moja kati ya vipengele vya semi ambavyo hutumika sana katika masuala yanayohusu mapenzi n...
Utafiti huu umeshughulikia dhamira za nyimbo za Siti binti Saad. Ili kukamilisha lengo kuu, madhumun...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza dhamira za nyimbo za Uganga katika jammi za waswahil...
UKIMWI umeendelea kuleta changamoto katika maisha ya binadamu. Ni janga ambalo linagusa maisha ya ki...