Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katika Lugha ya Kiswahili. Utafiti umefanyika Kisiwani Pemba. Jumla ya watafitiwa 80 waliolengwa kufanyiwa utafiti watafitiwa 75 ndio walioshiriki katika utafiti huu. Utafiti huu ulihusisha makundi ya vijana na wazee wanaoishi katika miji ya Wilaya hizi. Malengo ya utafiti yalikuwa ni kubainisha aina za lughatandawazi zinazotumika katika mitandao ya kijamii. Kubainisha sababu zinazopelekea utumiaji wa lugha tandawazi katika mitandao ya kijamii. Kufafanua athari za matumizi ya lugha tandawazi katika lugha ya Kiswahili. Data zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usaili hojaji na ushuhudiaji na zimechambuliwa kwa mkabala wa kiidadi na usio wa kiidadi na ...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza chimbuko na maendeleo ya Kiswahili na athari zake kw...
Utafiti huu ulichunguza maana za majina ya watu wa Pemba. Utafiti huu ulifanyika katika kisiwa cha P...
Utafiti huu ulilenga kuchunguza majina ya watu katika jamii ya Wayao ili kuona iwapo yana maana. Kul...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Utafiti huu umechunguza jinsi lugha ya Kiswahili inavyoiathiri kiisimu lugha ya Kiyao. Lugha hizi zi...
Utafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza Athari za Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili...
Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughain...
Lengo la Tasnifu hii ni kuchunguza Athari ya lugha ya Kijita Katika Kujifunza lugha Kiswahili Kwa Wa...
Utafiti huuulilenga kuchunguza changamoto zilizopo katika kutafsiri tungo tata za lugha ya Kiswahili...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Utafiti huu ulihusu Kuchunguza Matumizi ya Tafsida Katika Lahaja ya Kipemba. Mtafiti alichagua mada ...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Utafiti huu unahusu kuchunguza ujinsia katika methali za Wakurya ambapo lengo kuu lilikuwa ni kuchun...
Nyenzo kuu za kuenezea utandawazi ni lugha, fasihi yake, vyombo vya habari, muziki na tafsiri. Tunap...
Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamw...