Utafiti huu ulihusu Kuchunguza Matumizi ya Tafsida Katika Lahaja ya Kipemba. Mtafiti alichagua mada hii ili kuchunguza na kuchambua utajiri mkubwa wa tafsida za lahaja ya kipemba zinavyotumika kwa Wapemba wenyewe. Utafiti huu una lengo kuu moja na malengo mahsusi matatu. Aidha mtafiti alitumia nadharia moja tu nayo ni nadharia ya Simiotiki.Pamoja mtafiti alitumia njia nne za kukusanyia data nazo ni usaili, Uchunguzi makini, Hojaji na mbinu ya maktabani. Data za utafiti huu zilichambuliwa kwa njia ya maelezo, Uchambuzi wa dada ulifanyika kulingana na madhumuni mahususi yaliyotajwa ndani ya utafiti huu. Utafiti umegundua kuwa zipo tafsida za lahaja ya kipembaambazo hutumiwakwa lengo la kuleta heshima katika mazungumzo ya wapemba, lakini pia k...
Taaluma ya tafsiri huingiliana na nyanja nyingine za kitaaluma kutokana na kujishughulisha kwake kat...
Utafiti huu uliwalenga wanafunzi wa skuli za msingi na sekondari za Makunduchi zilizo katika wilaya ...
Utafiti huu ulichunguza maana za majina ya watu wa Pemba. Utafiti huu ulifanyika katika kisiwa cha P...
Utafiti huu ulizungukia lengo kuu ambalo lililenga kuchunguza taswira ya mwanamke katika Diwani ya M...
Utafiti huu ulichunguza Matumizi ya Lughatandawazi katika Mitandao ya Kijamii, Changamoto zake katik...
Kazi hii ilihusika na Ulinganishi wa Kiisimu uliopo baina ya lahaja ya Kipemba na Kitumbatu.Utafiti ...
Riwaya za Vipuli vya Figo na Siri za Maisha ni riwaya mpya, kwa maana ya riwaya za karibuni zenye ku...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza tofauti za lahaja ya Kipemba katika lugha ya Kiswahi...
Utalii ni miongoni mwa sekta muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ni sekta ambayo huliingizia tai...
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza tofauti za msamiati baina ya Kipemba cha Kaskazini n...
Maendeleo katika taaluma ya tafsiri mwanzoni mwa miaka ya tisini yalibadilisha mtazamo kuhusu dhana ...
Kazi hii ilihusika na Ujidhihirishaji wa Mofu zinazowakilisha Nafsi na Njeo Katika Kiswahili: Utafit...
Makala haya yanajadili mbinu mbalimbali za kutathmini tafsiri katika muktadha wa tafsiri za Kiswahil...
Mada ya utafiti huu ni Kuchunguza Sanaa na dhima za Methali za Wahaya. Ili kufanikisha mada hii mtaf...