Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kupimia akili yake kiubunifu katika hali ya kutaka kutangamana zaidi na binadamu mwenzake au kutaka kuelewa zaidi ulimwengu wake. Ndiposa washairi wengi wa kisasa wanashikilia kwamba ulimwengu unabadilika na hivyo utamaduni wa ushairi lazima ubadilike. Katika wasilisho hili tunajadili mabadiliko haya ya kimaumbo na athari zake katika ushairi wa Kiswahili. Si lengo letu kushawishi msomaji kujiunga na kikundi fulani cha ushairi bali kuangazia hoja mwafaka zinazotokana na mivutano na mikinzano katika mabadiliko haya, na namna mitazamo hii inavyofanikisha maendeleo ya ushairi
Utafiti huu ulichunguza athari za lahaja ya Kimakunduchi katika Kiswahili sanifu. Utafiti huu ulitum...
Utafiti huu unahusu Kutathmini Mabadiliko ya Usawiri wa Mwanamke katika riwaya za Utengano na Kamw...
Lengo la Tasnifu hii ni kuchunguza Athari ya lugha ya Kijita Katika Kujifunza lugha Kiswahili Kwa Wa...
Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kup...
Kubadili msimbo ni kati ya mtindo wa lugha uliozoeleka sana katika jamii ya watu wenye uwili lughain...
Makala haya yanafafanua dhima ya ushairi wa Kiswahili katika kujenga uwiano na utangamano katika jam...
Makala haya yanatathmini dhima ya kibwagizo katika ushairi wa Kiswahili. Baadhi ya wahakiki wa utanz...
Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. ...
Suala la uana limepewa kipaumbele miongoni mwa masuala yanayotafitiwa katika taaluma mbalimbali zina...
Tofauti na unominishaji, dhana ambayo imezoeleka sana katika taaluma za Kiswahili kama mchakato wa k...
Utafiti huu unahusu, Kutathmini usawiri wa mwanamke katika riwaya ya Mfadhili. Kwa nia ya kufanikish...
Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya maneno ya misimu ya lugha ya kiswahili na changamoto zake kat...
Tasnifu hii inahusu matumizi ya methali katika jamii ya Wanyiramba. Kutokana na utafiti uliofanywa u...
Makala haya yanachukulia kwamba mwandishi wa Kiswahili haandiki tu kwa ajili ya kuandika bali huandi...
Fasihi ya watoto imeendelea kukua na kupanuka katika tanzu zake mbalimbali katika miaka ya hivi kari...